TAREHE: 7/1/2021. KUTOKA KWA: OFISI YA TAALUMA KWENDA KWA: WAZAZI. YAH: KUOMBA MSAMAHA KWA KUCHELEWESHA MATOKEO YA KIDATO CHA TANO. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ofisi ya taaluma inaomba radhi kwa kuchelewesha matokeo kutokana na sababu zisizozuil ...
Tahasusi Mpya ya PMC
Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Msolwa unayo furaha kuwatarifu wazazi, walezi na wanafunzi kuwa tahasusi mpya ya PMC yaani Physics Mathematics Computer Science Imeanzishwa hapa Shuleni.Aidha uongozi wa shule pia unaalika wanafunzi wote wenye nia ya kusom ...
Taarifa ya Mwenendo Chanya wa Shule
SHULE YA SECONDARY MSOLWA - MWENENDO CHANYA WA SHULE - Download available from the school office.
Joining Instructions – Form One 2022
JOINING INSTRUCTIONS - FORM ONE _2022 - Download available from the school office.
Mtihani wa Kidato cha Tano Mwaka 2022/23
MTIHANI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO MWAKA 2022/23, UTAFANYIKA TARAHE 5 FEBRUARI 2022 KATIKA VITUO VIFUATAVYO; AZANIA SECONDARY SCHOOL – DAR ES SALAAM (0767-237849) MOROGORO SOCIAL EDUCATION CENTRE – ST. PATRICK CATHOLIC CHURCH – MOROGORO CATHEDRAL HALL ...
Tahasusi kwa Kidato cha Tano na Sita
Mpendwa mzazi/mlezi, uongozi wa shule ya sekondari Msolwa unapenda kuwataarifu kuhusiana na tahasusi mbalimbali zinazotolewa hapa shuleni kwa kidato cha tano na sita.TAHASUI KWA KIDATO CHA TANO NA SITA - Download
Taarifa za Bank za Shule kwa Malipo Mbalimbali
SCHOOL BANK ACCOUNTS: CRDB 0150261726600, Kilombero Branch — Account name: Msolwa St. Gaspare Sec. Sc NBC 026103003043, Morogoro Branch NMB 24910001310, Morogoro Branch Pocket money account: CRDB, Account name "Msolwa St Gasper Other Contribution AC", No. ...
School General Calendar 2022
SCHOOL GENERAL CALENDAR_2022 - Download available from the school office.
MTIHANI WA USAHILI TAREHE 15 OCTOBA 2022 KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO WA 2023
MSOLWA ST. GASPARE BERTONI SECONDARY SCHOOL (0789-118106) MIKUMI VOCATIONAL TRAINING CENTRE (VETA) (0789-118106) AZANIA SECONDARY SCHOOL – DAR ES SALAAM (0767-237849) STIGMATINE FATHERS – BEHIND CONSOLATA SEMINARY KOLA –NANENANE (0684-220167 ...









