pexels-vie-studio-4439463

Apology Note

TAREHE: 7/1/2021. KUTOKA KWA: OFISI YA TAALUMA KWENDA KWA: WAZAZI. YAH: KUOMBA MSAMAHA KWA KUCHELEWESHA MATOKEO YA KIDATO CHA TANO. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ofisi ya taaluma inaomba radhi kwa kuchelewesha matokeo kutokana na sababu zisiz ...

IMG-20221024-WA0018

Tahasusi Mpya ya PMC

Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Msolwa unayo furaha kuwatarifu wazazi, walezi na wanafunzi kuwa tahasusi mpya ya PMC yaani Physics Mathematics Computer Science Imeanzishwa hapa Shuleni.Aidha uongozi wa shule pia unaalika wanafunzi wote wenye nia ya ...