20221007_152529

Mtihani wa Kidato cha Tano Mwaka 2022/23

MTIHANI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO MWAKA 2022/23,

UTAFANYIKA TARAHE 5 FEBRUARI 2022 KATIKA VITUO VIFUATAVYO;

AZANIA SECONDARY SCHOOL – DAR ES SALAAM (0767-237849)

MOROGORO SOCIAL EDUCATION CENTRE – ST. PATRICK CATHOLIC CHURCH – MOROGORO

CATHEDRAL HALL- DODOMA

MSOLWA ST. GASPARE BERTONI SECONDARY SCHOOL-MIKUMI

FOMU ZINAPATIKANA KUANZIA TAREHE 30 NOVEMBA 2021, KATIKA VITUO VIFUATAVYO;

MOROGORO – HKZ COMPANY LTD KATIBU NA ZIMAMOTO – 0754-309530

DAR ES SALAAM – MSIMBAZI CENTRE CHUMBA MARIAN SHOP NA CHUMBA NA. 9

DAR ES SALAAM – MSIMBAZI CENTRE CHUMBA 10, CHUMBA 11 NA CHUMBA 18 – 0788-018399

DAR ES SALAAM – KWENYE OFISI ZA UMOJA WA WAZAZI URAFIKI UBUNGO POLISI: 0684-366987/0716-041001.

UKUMBI WA CATHEDRAL JIMBO KATOLIKI – DODOMA – 0625-451014 / 0785-414426

IRINGA – CHUO CHA RUCO – 0753-495603

Tags: No tags

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *